Mudadhiri Yahaya tokea anajiunga na Yanga katika dirisa dogo chini ya coach Nabi mwanzoni alionekana kama mchezaji aliyetumika sana na mkongwe ila kwangu mimi nilikuwa na mtazamo tofauti kwani katika viungo wa ulinzi nchini hakuna kama Mudadhiri Yahaya,Muzamiru Yasini,Sospeter Bajana,Jonas Mkude,Yusuf Kagoma.
kwa sasa Coach Gamondi anamtumia sana kama mshambuliaji anayetokea pembeni huku akimsaidia Khalid Aucho katika eneo la kiungo katika kama mkabaji pia wakati timu ikiwa aina mpira,Faida ya mudadhiri yahaya uwanjani anaweza kukaba na kufunga pia.
alipoondoka Fei toto nafasi kubwa na tegemeo la benchi la ufundi la Yanga limebaki kwa kiungo mzawa Mudadhili Yahaya Abassi tofauti na Azizi ki,Pacome,Max nzengeli,Zawadi Mauya.
katika mchezo wa leo KMC siku zote wanapoteza michezo yao dhidi ya Yanga kwa kufanya makosa mengi hasa katika eneo lao la ulinzi,ukiangalia goli la kwanza KMC ilijaribu kumiliki mpira sana kwa kudhani yanga ingecheza kwa tahadhali juu yao bila kujua yanga wanawachezaji wenye uwezo mkubwa hasa katika eneo la umaliziaji.
0 Comments