Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi katika Hospitali hiyo
.
Muonekano wa Hospitali hiyo na mandhali yake kwa nje.
Waziri mkuu akikagua jengo hilo na vifaa vya kisasa vilivyowekwa
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 11, 2024 ameweka jiwe la msingi kwenye
Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini “B”- Pangatupu iliyopo Mkoa wa Kaskazini
Unguja, ujenzi wa hospitali hiyo umegharimu shilingi bilioni 6.7. Tukio hili ni
sehemu ya shamrashamra kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar.
0 Comments