MVUA YA MAWE YANYESHA NA KUKATISHA MKUTANO WA MBUNGE WA SINGIDA

Nikiwa katika kata ya Nyanza leo jioni ambapo mbunge wa Singida mjini Mussa Sima alipokuwa na kikao  na wananchi wa katahiyo pamoja na diwani wa kata hiyo ya Kindai, gafla mvua kubwa ya mawe ikanyesha na watu wote wakasambaa  







mbunge wa Jimbo la Singida mjini Mussa sima akiongea na wanachi wa maeneo ya Nyanza kata Kindai kabla ya mvua kubwa ya mawe kunyesha lengo la ziara yake ni kuchukua maoni ya wanachi kabla ya kwenda bungeni.

pembeni yake mwenye kanzu ni diwani wa kata ya Kindai (CCM) Ommry kinyeto.


diwani wa kata ya Kindai akifunga mkutano huo baada haliyahewa kubadilika.





Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments