BMT YATOA SEMINA KWA MAAFISA MICHEZO WA MIKOA NA WILAYA





Katibu mkuu wa baraza la michezo Tanzania (BMT)Mohamedi kiganja akimkaribisha mgeni rasimi mbunge wa Singida mjini Mussa sima katika semina elekezi kwa maafisa michezo kutoka mikoa ya Singida,Manyara,Arusha,Kilimanjaro na Dodoma.

mbunge wa Singida mjini Mussa sima amewataka maafisa michezo kuakikisha wanatekeleza sera ya michezo iliyowekwa na chama tawala na kuwa wabunifu katika kukuza michezo hapa nchini.


wajumbe wakipozi katika picha ya pamoja mbele ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Singida.






Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments