MAENEO YA MICHEZO YASITUMIKE KWA SHUGULI NYINGINE

wakurugenzi wa manispaaa zote nchini wametakiwa kuachakugawa maeneo yawazi  kwani maeneo hayo ni kwaajili ya viwanja vya michezo mbalimabili kufanya hivyo ni kuendelea kupoteza nguvu kazi ya taifa kwani michezo ni ajira pia.
kauli hiyo imetolewa na katibu mkuu wa baraza la michezo la taifa BMT Bw Mohamedi kiganja wakati akimkaribisha mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema nchimbi kufunga semina elekezi kwa maafisa michezo wa mikoa na wilaya tano za Dodoma,Singida,Kilimanjaro,Arusha na Mnyara.


mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema Nchimbi na mkuu wa wilaya ya  Singida Elias Tarimo wakisikiliza jambo flani katika semia hiyo. 

washiriki wa semina wakimsikiliza kwa mbali afisa michezo wa mkoa wa Singida Henry kapela.



Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments