MAADHIMISHO YA WIKI YA PILI YA MAZOEZI KITAIFA MKOANI SINGID

watumishi wa serikali kinamam wakichuana kuvuta kamba katika bonanza hilo la kila wiki ya pili ya mwezi kimkoa ufanyika viwanja vya mwenge sec.

kinamama wa Jeshi la magereza katika kamba.

upimaji wa afya pia unafanyika baada ya mazoezi hayo.

mashindano ya kufukuza kuku hapo mkuu wa wilya ya Singida Elias tarimo akimkabidhi afisa michezo manispaa Sam mwaikenda zawadi ya kuku baada ya kushinda.


kinamama wakikimbiza kuku


viongozi wa meza kuu nao wakimbiza kuku mwenye track suti ya bendela ya taifa ni mkuu wa wilaya.


mgeni rasimi katibu mkuu wa BMT Mohamed kiganja akijalibu kukamata kuku



polisi,zimamoto,magereza na mgambo katika shindano la kukamata kuku.




mkuu wa wilaya ya Singida Elias tarimo akizungumza na watumishi waliyouzulia katika wiki ya mazoezi.

mgeni rasimi katibu mkuu wa BMT akiongea baada ya michezo yote kukamilika.



Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments