Bw Emmanuel Nkumbi kutoka shirika la YMC akiongea na wazazi,kamati ya shule ya msingi Kaserya wilaya ya Iramba na viongozi wa kijiji hicho. |
KatikaUtafiti uliyofanywa na Shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA juu ya ufahamu wa wanafunzi wangapi wa Shule za msingi mkoani singida hawajui kusoma na kuandika sambamba na kuhesabu yani KKK katika wilaya za Iramba na Mkalama.
Kauli hiyo imetolewa na Bw Emmanuel Nkumbi kutoka
shirika la YOUTH MOVEMENT FOR CHANGE wakati wa mkutano wa kujadili namna
ya kutafuta ufumbuzi wa kuinua uwezo wa wanafunzi wa shule ya msingi Kaserya
kujua kusoma na kuandika yani KKK ni mdogo baada ya kubainika kuwa shule hiyo ni mmoja kati
ya shule ambazo zina tatizo hilo wilayani Iramba.
Add caption |
0 Comments