Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick
yake ya 50 tangu aanze kucheza soka ya kulipwa huku Real Madrid ikiilaza Girona
na hivyobasi kupanda hadi nafasi ya tatu katika ligi ya La Liga.
Ronaldo alifunga krosi ya Toni Kroos lakini kichwa cha Cristhian
Stuan kilifsawazisha na kufanya mambo kuwa 1-1
Real hatahivyo ilichukua uongozi kufuatia shambulizi kali la
Ronaldo kabla ya kumpatia krosi Lucas Vazquez aliyefunga bao la tatu na
hatimaye nyota huyo akakamilisha ha Stuani alifunga bao la pili la Girona,
Gareth Bale alifunga la tano , kabla ya Juanpe kuifungia Girona
bao la tatu lakini Ronaldo alipata bao lake la nne na la sita katika muda wa
majeruhi.
Matokeo hayo yanaiweka Real Madrid juu ya Valencia lakini wako
pointi nne nyuma ya Atletico Madrid ambao walilazwa 2-1 na Vilareal.
Real wako pointi 15 nyuma ya viongozi wa ligi Barcelona ambao
walishinda 2-0 dhidi ya Athletico Bilbao siku ya Jumapili.
t-trick yake.




0 Comments