Waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Kassim
Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasimi
katika mahafari ya 33 ya chuo kikuu huria ambayo kitaifa yatafanyika mjini
Singida
|
Dr Mohamed Omary |
Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu mkurugenzi wa mawasiliano na
masoko wa chuo kikuu huria nchini Dr Mohamed Omary amesema maandalizi kwa ajili
ya mahafali hayo yanaendelea vizuri
Kwa upande mwingine amesema November 29 kutakuwa na mkutano wa wanazuoni wa
chuo kikukuu huria cha Tanzania unaofahamika kama Convocation.
|
Dr Mohamed omary kulia akitoka nje ya geti la viwanja vya chuo kukuu huria Singida huku maansalizi yakiendelea kwa siku ya pili |
Tuandikie Maoni Yako Hapa
0 Comments