| Coach Plujim akibadilishana mawazo na mtendaji wake Misso kabla ya mchezo kuanza. |
| Mbeya City |
| Singida United |
| Moja kati ya mapungufu ya ndani ya uzio wa dimba la Namfua ni pamoja na kukosekana kwa benchi ya wanahabari wa magazeti na watu wa huduma ya kwanza Red cross. |
| Yusuf kagoma akishangilia baada ya kuipatia bao la kwanza Singida united kwa shuti kali la mita 25 pia ni mchezaji kinda aliyeipandisha timu hiyo. |
| Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singinda Mh Diana Chilolo akiangalia mechi hiyo eneo la jukwaa kuu. |
| Nje ya uwanja wa Namfua kuna mlima mkubwa hivyo mashabi waliyokosa pesa ya kuingia uwanjani wanapata upepo mwanana wa ziwa Singidani |
| Msingida nimchezaji aliyechezea Singida united toka ligi daraja la pili mchezo wa Mbeya city ulikuwa ni mechi yake ya kwanza kuanza katika kikosi hicho |


0 Comments