Mkuu wa wilaya Elias Tarimo akipoz katika picha meza kuu |
Mratibu wa shirika la MEDO Bi Aginess Aquilin akitoa wito kwa wazazi na serikali juu ya haki za mtoto katika siku hiyo ya mtoto wa Afrika. |
wanafunzi kutoka shule ya msingi Mgoli wakito wito kwa serikali |
Msanii wa kizazi kipya Durra akitoa burudani |
Mkuu wa wilaya akimtunza msanii huyo. |
0 Comments