FAINALI YA MICO CUP YAMALIZIKA KWA KUFUKUZA UPEPO

Riadha ya mita 100 mshindi 2 mbuzi wazee wa kazi ni katika viwanja vya Mandewa.


wakimaliza mita 100
Riadha mita 400 ni mchanganyiko wamaumw kwa wanawake.


Mshindi wa kwanza kwa wanaume 
Wanawake wakimaliza mita 400
Polisi wakifanya dolia .
Mkuu wa wilaya Elias Tarimo katikati kushoto Mh Mussa Sima mbunge wa Singida kushoto Mdhamini wa mashindano hayo Bw MICO.

Veteran Singida wakikaguliwa na mgeni Rasimi Edwin Agai akipeana mikono na mkuu.



Kisuke mchezaji wa JKT RUVU pamoja na kuonyesha uwezo wa juu lakini gemu lilimalizika kwa 1-1 na kushindwa kwa matuta.
Mzee mzima Supertanza Edwin Agai akionyesha ufundi wake.




Bao la VETERAN la kusawazisha  kipindi cha pili lililofanya mchezo huo wa fainali kati ya ARENNA VS VETERAN kumalizika kwa DK 90 1-1 na mikwaju ya penati 5 iliwapaushindi vijana wa ARENNA kuibuka na ushindi wa N'GOMBE huku VETERAN wakipata mbuzi 2.

Mkurugenzi wa MICO CENTER Dr Ryoba akiongea na wapenzi wa soka.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments