Jeston Kihwelu ni meneja wa Standard radio akitembelea na kuzungumza na wafanya biashara wa soko la vitunguu Misuna manispaa ya Singida mjini.
|
Katikati ya soko hilo kunaguba kubwa la uchafu maala ambapo wafanyabiashara wa soko na wakazi wa kata hiyo ya misuna wanatupa taka na kusababisha guba hilo kujaa na kufulika .
|
msimu wa vitunguu unapoanza kinamama na vijana ufaidika na ajira ya kupembua vitunguu na kujaza katika magunia kama unavyoona.
|
serikali imepiga marufuku kujaza lumbesa kwani mkulima anapata asala lakini pamoja na kupiga marufuku ujazo huo baadhi ya wakulima wamedai kuwa sasa hivi wanunuzi nao wameshusha bei.
|
0 Comments