Kocha mkuu wa Singida united Fred felix minzilo ( Baba Isaya) akiwakatika majukumu yake. |
Wachezaji wakisikiliza maelekezo ya mwalimu katika mazoezi ya asubui ya leo |
dakitali wa timu Mbulu matale akiwa katika majukumu yake pia. |
Jumanne Charles ni kocha msaidizi akitoa maelekezo pia. |
Nizar Kharfani ni mmoja ya wachezaji wanaongoza katika ufungaji katika ligi daraja la kwanza |
wanamuita mwabesh ni mmoja wa mido hatari dimba la chini. |
0 Comments