Nyota wa mchezo huo alikuwa ni jezi na 22 alikuwa anacheza na 5 |
Mvua kubwa yaalibu mchezo huo |
wachezaji wa akiba wakijikinga mvua |
benchi la Majengo women |
Mchezaji huyu wa Baobub ya Dodoma ananyonyesha mtoto mdogo |
Mchezaji hatari wa Majengo women wanamwita Mess anasoma kidato cha sita Shule ya sekondali Ikungi. |
Majengo Women baada ya kufunga bao lao |
kocha wa Baobub queen ya Dodoma Mussa sulutun |
0 Comments