FIFA
imetangaza Wagombea Watatu wa mwisho kutoka Listi ya Wachezaji 23 wa kuwania
Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani kwa Mwaka 2016.
Watatu
hao ni Cristiano Ronaldo (Portugal/Real Madrid), Antoine Griezmann
(France/Atletico Madrid) na Lionel Messi (Argentina/FC Barcelona).
Kwa
upande wa Kinamama, Wagombea ni Melanie Behringer (Germany/FC Bayern Munich),
Carli Lloyd (USA/Houston Dash) na Marta (Brazil/FC Rosengård).
Kwa
upande wa Makocha, Wagombea wa mwisho pia wametajwa na kwa Wanaume ni Claudio
Ranieri (Italy/Leicester City), Fernando Santos (Portugal/Timu ya Taifa ya
Portugal) na Zinedine Zidane (France/Real Madrid)
Kwa
apande wa Kinamama Wagombea ni Jill Ellis (USA/Timu ya Taifa ya USA), Silvia
Neid (Germany/Timu ya Taifa ya Germany) na Pia Sundhage (Sweden/Timu ya Taifa
ya Sweden).
KURA
KUPATA WASHINDI:
-Washindi wa Tuzo hizi watapatikana kwa Kura:
-Asilimia 50 ni ile ya Makepteni na Makocha wa Timu
za Taifa za Nchi Wanachama FIFA
-Asilimia 25 ya Kura itatoka kwa Kura za Mtandaoni
za Mashabiki
-Asilimia 25 ni Kura za Wawakilishi 200 wa
Wanahabari kutoka Mabara yote 6 Duniani.
Vilevile
Wagombea Watatu wa Goli Bora la Mwaka wametangazwa kutoka 10 wa awali na hao ni
Marlone (Brazil/Corinthians), Daniuska Rodriguez (Venezuela/Venezuela Timu ya
Taifa ya Wanawake U-17) na Mohd Faiz Subri (Malaysia/Penang).
Washindi
wa Tuzo hizo za Ubora watatangazwa rasmi Januari kwenye Hafla maalum ya FIFA.
FIFA FIFPro World11 2016
LISTI
YA WACHEZAJI 55 WAGOMBEA WA KIKOSI BORA:
MAKIPA (5): Claudio Bravo (Chile/FC Barcelona/Manchester
City), Gianluigi Buffon (Italy/Juventus), David de Gea (Spain/Manchester
United), Keylor Navas (Costa Rica/Real Madrid) na Manuel Neuer (Germany/FC
Bayern Munich).
MABEKI (20): David Alaba (Austria/FC Bayern Munich), Jordi
Alba (Spain/FC Barcelona), Serge Aurier (Côte d’Ivoire/Paris Saint-Germain),
Héctor Bellerìn (Spain/Arsenal), Jérôme Boateng (Germany/FC Bayern Munich),
Leonardo Bonucci (Italy/Juventus), Daniel Carvajal (Spain/Real Madrid), Giorgio
Chiellini (Italy/Juventus), Dani Alves (Brazil/FC Barcelona/Juventus), David
Luiz (Brazil/Paris Saint-Germain/Chelsea), Diego GodÃn (Uruguay/Atlético
Madrid), Mats Hummels (Germany/Borussia Dortmund/FC Bayern Munich), Philipp
Lahm (Germany/FC Bayern Munich), Marcelo (Brazil/Real Madrid), Javier Mascherano
(Argentina/FC Barcelona), Pepe (Portugal/Real Madrid), Gerard Piqué (Spain/FC
Barcelona), Sergio Ramos (Spain/Real Madrid), Thiago Silva (Brazil/Paris
Saint-Germain) na Raphaël Varane (France/Real Madrid).
VIUNGO (15): Xabi Alonso (Spain/FC Bayern Munich), Sergio
Busquets (Spain/FC Barcelona), Kevin De Bruyne (Belgium/Manchester City), Eden
Hazard (Belgium/Chelsea), Andrés Iniesta (Spain/FC Barcelona), N’Golo Kanté
(France/Leicester City/Chelsea) Toni Kroos (Germany/Real Madrid), Luka Modrić
(Croatia/Real Madrid), Mesut Özil (Germany/Arsenal), Dimitri Payet (France/West
Ham United), Paul Pogba (France/Juventus/Manchester United), Ivan Rakitić
(Croatia/FC Barcelona), David Silva (Spain/Manchester City), Marco Verratti
(Italy/Paris Saint-Germain) na Arturo Vidal (Chile/FC Bayern Munich).
MASTRAIKA (15): Sergio Agüero (Argentina/Manchester City), Gareth
Bale (Wales/Real Madrid), Karim Benzema (France/Real Madrid), Cristiano Ronaldo
(Portugal/Real Madrid), Paulo Dybala (Argentina/Juventus), Antoine Griezmann (France/Atlético
Madrid), Gonzalo HiguaÃn (Argentina/Napoli/Juventus), Zlatan Ibrahimović
(Sweden/Paris Saint-Germain/Manchester United), Robert Lewandowski (Poland/FC
Bayern Munich), Lionel Messi (Argentina/FC Barcelona), Thomas Müller
(Germany/FC Bayern Munich), Neymar (Brazil/FC Barcelona), Alexis Sánchez
(Chile/Arsenal), Luis Suárez (Uruguay/FC Barcelona) na Jamie Vardy
(England/Leicester City).
0 Comments