BODABODA SINGIDA WAJIPANGA KUGOMEA KODI YA SUMATRA NA TRA

TRA imetanga kuwa wamiliki wote wa bodaboda mjini singida kuanza kulipia kodi ya sh 150000 kuanzia january 2017 na kuanzia mwezi dec 2016 kulipia kiasi cha 36000, baada ya taarifa hiyo kutangazwa na TRA bodaboda wote singida mjini wamefanya mkutano katika viwanja vya Mitunduruni na kuchagua uongozi na kuweka azimio la kugomea kodi hiyo mpaka watakapo pata maelezo ya kina.











Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments