SOKO LA MSUFINI SINGIDA MJINI MAARUFU KWA MBOGAMBOGA N.K

Panaitwa soko la Msufini Singida mjini kuna mti mkubwa sana tokea enzi za kale hufaniyika biashara tofautitofauti ukifika singida njini na kuweka makazi lazima utafika tu ndani ya siko hilo kuna stendi ya mabasi yaendayo Iramba,Mkalama.Iguguno.Shelui,Nzega ,Igunga .N.K




Leo mimi na mwenzangu Teddy Mande tulishuhudia mtiti wa mkusanya kodi kutoka CCM na wafanya usafi huyo mama hapo analalamikiwa na wafanyausafi kuwa anawakela sana kwa maneno yake wakati wa kukusanya ushuru ,mwenye rasta na begi ni mtangazaji wa Standard radio teddy mande akimsikiliza baada ya kujua tupo hapo.





Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments