WANANCHI WA TARAFA ZA MTINKO NA ILONGERO KWA PAMOJA WAMEPINGA MAAMUZI YA BARAZA LA MADIWANI KUPELEKA MAKAO MAKUU NJIAPANDA YA SAGARA



Aliyekuwa diwani wa awamu ya 4 Mzee Samwi 
Mkutano mkubwa umewfanyika kata ya Ilongero ili kujadili maamuzi ya baraza la madiwani lililo kaa oct 27 - 28  2016 na kupitisha eneo la Njia panda (Sagarumba) kuwa ndiyo makao makuu ya wilaya, mapendekezo ya wananchi hao ni kuwa makao makuu ya wilaya ya wekwe katika mji mdogo wa Ilongero wenye kila huduma ya jamii.





wazee kutoka kata za mrangi na kwingineko wamekaa na kujadili juu ya maamuzi hayo na kuamua kukutana na kutoa maamuzi ya pamoja.




wananchi wakinyoosha mikono kuunga mkono azimio lao la kukataa makao makuu ya wilaya yaliyopendekezwa na baraza la madiwani.








UMA WA WANANCHI HAO WAKIWA KATIKA MKUTANO HUO



















 


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments