ZAIDI YA SHILINGI MILIONI NNE ZIMEPATIKANA KATIKA KONGAMANO LA KUCHANGIA TETEMEKO LA MKOA WA KAGERA




Mkuu wa mkoa Eng Mathew Mtigumwe akitaja fedha zilizopatikana baada ya maesabu kukamilika

Zaidi ya shilingi milioni nne zimepatikana katika kongamano la kuombea amani na kuchagia waathiriwa wa tetemeko la Ardhi lililotokea Mkoani Kagera.

Kiwango hicho kimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe mara baada ya kongamano na harambee ya kuchangia waathiriwa wa tetemeko la Ardhi kumalizika katika uwanja wa Namfua mjini Singida


Kongamano la kuombea amani na harambee ya kuchangia waathiriwa wa tetemeko limekwenda sambamba na zoezi la uchangiaji damu kwa ajili ya Benki ya damu katika Hospitali ya mkoa wa Singida.



















kwaya mbalimbali zilitoa burudani 




Kushoto ni mkuu wa wilaya Elias John Tarimo kulia shekh Issa Nassor




wengine nguo kwaajili ya familia zilizoadhilika na tetemeko hilo.



wananchi walitoa michango yao kuchangia tetemeko la Bukoba.













Fedha zikiesabiwa


Mkuu wa mkoa wa Singida Eng Methew Mtigumwa akiongea na wanachi baada ya kupokea michango.



Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments