kaimu kamanda wa polisi SSP M.S.TOWO akitoa taarifa kwa nyombo vya habari ofisini kwake. |
Hayati Kulwa mathia mapera (19) wakati wa uhai wake ni mwanachuo cha utumishi wa umma mwaka wa kwanza kampas ya Singida |
Hostel kwanje ya ukuta katika enero la tukio |
Mbele ya Hostel |
Ofisini kwa meneja wa Tanesco mkoa Singida wanahabari wakitafuta ufafanuzi juu ya tukio. |
Bw khatibu saidi mmiliki wa hostel akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya kifo cha mwanafunzi huyo. |
Eneo hilo lenyewavu ndiyo alioangukia marehemu baada ya kunaswa na umeme huku mvua ikinyesha |
0 Comments