MKUU WA MKOA WA SINGIDA ATEMBELEA UWANJA WA NAMFUA

Mkuu wa mkoa wa Singida Eng Mathew mtigumwa mwenye miwani akipata maelezo kutoka kwa msemaji wa timu ya Singida united Elisante John (koti jeusi) juu ya ukarabati wa uwnja huo ambao unatarajiwa kutumika katika ligi daraja la kwanza na ligi ya wanawake ngazi ya taifa hivi karibuni.




Basi jipya la timu lililozua maswali na mijadala kutoka kwa wadau mbalimbali ikisemekana kununuliwa na Mh Mbunge wa Iramba huku wengine wakidai sio kweli.
makipa wa Singida united wakijifua chini ya Kocha wao seifu kitwana.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments