MFANYABIASHARA MANYONI AJIMILIKISHA KISIMA CHA SERIKALI NA KUWAFANYA WANANCHI KUKOSA MAJI



mfanyabiashara na miliki wa nyumba ya kulala wageni ya NILE FROCE wilaya manyoni mjini amejenga uzio wa guest hiyo na kujimilikisha kisima cha maji cha muda mlefu kwa madai kuwa eneo hili ni mali yake na kuzua tahaluki kwa wazawa wa maenoe hao,  


Nile force
kisima chenyewe kilicho chimbwa kitambo na serikali kwaajili ya wakazi wa maeneo hayo ya mji wa manyoni  ambacho kipo katika uzio wa nyumba hiyo, mkuu wa wilaya ya manyoni mh Geoffrey mwambe alipoulizwa juu ya tukio hilo amesema kwamba taarifa juu ya kisima hicho amekwisha ipata na amewaagiza wataalamu wa mambo ya aridhi wilayani humo kumpa taarifa ya kina juu ya eneo hilo la kisima.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments