JESHI LA POLISI NCHINI LAONDOA MARUFUKU






DROO ya Raundi ya 4 ya EFL CUP, Kombe la Ligi, imefanyika Usiku huu mara baada ya Mechi za Raundi ya 3 na imeshusha Dabi ya Jiji la Manchester kwa Manchester United kuwa Wenyeji wa Mahasimu wao Manchester City Uwanjani old Trafford.
DROO KAMILI:
West Ham vs Chelsea
Man United vs Man City
Arsenal vs Reading
Liverpool vs Tottenham
Bristol City vs Hull
Leeds vs Norwich
Newcastle vs Preston
Southampton vs Sunderland
-Msimu huu hili Kombe la Ligi halina Mdhamini na limebatizwa English Football League Cup, EFL CUP.
-Huko nyuma Kombe la Ligi, kwa sababu za kiudhamini, liliwahi kubatizwa Coca-Cola Cup, Worthington Cup, Carling Cup na Capital One Cup.
Mechi za Raundi ya 4 zitachezwa Wiki ya kuanzia Oktoba 24.
EFL CUP
Raundi ya 3
Matokeo:
Jumanne Septemba 20
Bournemouth 2 Preston 2 [2-3 baada ya Dakika 120]
Brighton 1 Reading 2
Derby 0 Liverpool 3
Everton 0 Norwich 2
Leeds 1 Blackburn 0
Leicester 2 Chelsea 2 [2-4 baada ya Dakika 120]
Newcastle 2 Wolves 0
Nottingham Forest 0 Arsenal 4
Jumatano Septemba 21
Fulham 1 Bristol City 2
Northampton 1 Man United 3
QPR 1 Sunderland 2
Southampton 2 Crystal Palace 0
Swansea 1 Man City 2
West Ham 1 Accrington 0
Stoke 1 Hull 2

Tottenham 5 Gillingham 0


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments