BODA BOADA 108 WILAYANI IKUNGI WAPATA MAFUNZO NA KUTUNUKIWA VYETI NA RPC SINGIDA

Mkurugenzi wa APEC akiongea na wahitimu hao wa kata  za Irisi na Marongo wilaya  ikungi.

mafunzo hayo yanatolewa na shirika la APEC linalojishugulisha na utoaji wa elimu kwa madeleva wa bajaji na boda boda nchini, mkoani Singida jumla ya kata 19 zimesha pata mafunzo hayo . 
wakwanza kushoto ni Diwani wa kata ya Mtunduru iliyopo wilayani ikungi Respicus timanywa mkurugenzi mtendaji wa APEC nchini kamanda wa  polisi mkoa wa Singida Peter kakamba na insp Ida mratimu kutoka polisi jamiii.





Kamanda Peter kakamba

Mratibu wa polisi jamii  mkoa wa Singida afande Hilda





Diwani wa mtunduru Hamisi mpaki





Mwanamke pekee aliyetunukiwa cheti hicho







Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments