Ni taarifa iliyotufikia hivi punde
kutoka kwa uongozi wa timu hiyo juu ya mabadiliko ya jina hilo,akiongea na
mwandishi wetu kwa njia ya simu afisa habari wa Ihefu fc amesema kuwa baada ya
msimu huu kutamatika kutakuwa na mabadiliko ya jina rasimi baada ya Ihefu fc
itakuwa Singida Black Stars sc na makao
makuu ya timu yatakuwa Mkoani Singida.
0 Comments