SIMBA YAONESHA UTOFAUTI -ALI HASSAN MWINYI -TABORA.


 Freddy afungua Account ya magoli NBC Premer baada ya kupachika bao la nne 4 katika mchezo wa ligi kuu bara.





Coach Benchika wa timu ya Simba anaonekana kutafuta muunganiko mzuri wa timu na tayari amefanikiwa mpaka sasa maana takwimu ya Simba ya michezo ya nje ya msimu wa mwaka jana na mwaka huu imekuwa tofauti kila siku,timu imekuwa ikicheza bila kuonesha kuchoka hasa kipindi cha pili.

ukisikiliza kauli za mashabiki wa Simba moja moja kwa sasa wengi wamekuwa na matumaini na timu yao baada ya michezo hii miwili na hamu yao kubwa kwa sasa ni mchezo  wa  Azam fc unaotarajia kuchezwa jiijini mwanza.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments