Mwenyekiti wa Halmashauri na Diwani wa Msange Mhe Elia Digha (suti ya bluu) na katibu wa mbunge wa Jimbo hilo Mhe Ramadhani Ighondo Amina Senge akipokea genereta kutoka kwa Afisa mauzo wa MSD Omary Mosi Genereta hilo lenye dhamani ya Zaidi ya Mil 65 katika kituo hicho.
Wakazi wa Msange wakifurai baada ya kupokea Genereta hilo.
Mzigo ukishushwa na gari maalum la MSD
Taarifa kamili ya tukio hilo utaipata hivi punde.
0 Comments