USAJILI WA SIMBA KWA MA PRO UMEFANIKIWA ? AU




                                       Shabalala wa Simba na Saadun wa Geita ilikuwa ni bato la nguvu.


                      Che Malon akiwa kazini katika mchezo wa ligi kuu NBC PREME Bara Simba Vs Geita Gold

 
Mpaka sasa wachezaj wa kimataifa wa timu ya Simba wamefanikwa kufunga magoli katika michezo ya NBC PREMER iliyochezwa katika viwanja tofauti tofauti Pa Omar na Freddy wao walifunga katika mchezo wa Tabora United ambapo Simba ilipata ushindi mnono wa mabao 4 -0  huku kiungo Babacar akifunga goli la ushindi katika mchezo dhidi ya Geita Gold jijini Mwanza.

Coach Benchica anaonekana kuendelea kutafuta ufumbuzi juu ya ni mfumo upi utakao endana na aina ya wachezaji aliyonao pamoja na kuwa na wachezaji waliyotoka katika mashindano ya  AFCON hivi karibuni.

katika michezo minne aliyocheza nje ya jiji la Dar Simba imeweza kuibuka na point 10 mpaka sasa baada ya kutoka sare na Azan fc na kwa ushindi muhimu dhidi ya Geita unaifanya Simba kuendelea kufukuzia uchampion pia.




Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments