KAMATI YA TAWALA ZA MIKOA YATOA MAELEKEZO WIZARA YA ARIDHI.



Waziri wa Aridhi Nyumba na makazi Deo Ndejembi akitoa ufafanuzi katika kikao cha kamati hiyo kilicho kaa jijini Dodoma.



   
Jafari Chege Wmbura Mbunge wa Rorya akichangia hoja katika kikao cha kamati ya kudumu ya bunge ya kudumu Tawala za mikoa na serikali ya mitaa. 




Na Mwandishi wetu Dodoma

Kamati ya Kudumu ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI ikiongozwa na Mweneyekiti Mhe. Justine Nyamoga leo imekutana na Menejimenti ya Wizara ya Ardhi na Kujadiliana kwa Pamoja namna ya utekelezaji wa programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha Aridhi (KKK) kwa ofisi za Halmashauri.


Kamati imeielekeza Wizara ya Ardhi kuendelea kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI katika utekelezaji wa Programu hiyo kwani wao ndio wasimamizi wakuu wa Halmashauri hizo.



Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments