MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI BONANZA LA MUUNGANO DAY SINGIDA.

 


Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Godwin Gondwe katikati ni Mkuu wa Mkoa Halima Dendego kulia ni Katibu tawala Mkoa Singida na Dkt Fatma Mganga.





Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego akiwa na Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini Mhe Mussa Sima Baada ya Jogging na Mazoezi ya Viungo.



Timu ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanesco Mkoa wa Singida Katika Picha ya pamoja na katibu Tawala wa Wilaya ya Singida Naima Chondo na Afisa Twala Omary.


Timu ya Wakala wa Barabara nchini Tanroad Mkoa wa Singida katika picha ya pamoja na katibu tawala wa wilaya ya Singida Naima Chondo na Afisa Tawala Mkoa wa Singida.






Ni Bonanza la ainayake kutokea Mkoani hapa taasisi zote na Halmashauri kukutana kwa pamoja katika miaka 60 ya Muungano na kubadilishana mawazo kula pamoja na kucjheza Burudani iliongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego na msanii Msaga Sumu Ngoma ya Kinyaturu pia,.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments