NAIBU WAZIRI WA KILIMO DR MERRY MWANJELWA ATEMBELEA MANISPAA YA SINGIDA NA SINGIDA (V)

Dr Marry Mwanjelwa akiwasili katika kiwanda cha kusindika mafuta ya Alizeti cha Mount Meru na kujionea namna ya usindikaji wa mafuta katika kiwanda hicho chenye ukubwa katika ukanda huu wa Afrika msharaki pichani akipokewa na Afisa mausiano wa kiwanda hicho Bw Nelison Mwakabuta.






Baada ya kuwasili kiwandani hapo alipata fusla ya kuongea na wamiliki wa kiwanda hicho na kujadili mambo kadha wa kadha ikiwemo kujua namna kiwanda hicho kinavyo zarisha na kulima zao la Alizeti mkoani Singida.














Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments