STENDI MPYA YA MABASI MISUNA SINGIDA YAANZA KAZI

Mabasi yakitoka na kuendelea na safari mikoani.
mengine ya kiingia kutoka kaskazini mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.
Amour ni msemaji wa mawakala wa stendi hiyo akihojiwa na mwandishi wa habari Revocatus Phinias kutoka Standard Radio 90.1Singinda, Changamoto kubwa iliyojitokeza ni abilia kutojua  juu ya ulipaji wa shiringi 200 kama ada ya kuinjia ndani ya stendi hiyo ya kisasa.

Kituo cha Polisi kikiwa wazi.















Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments