KONGAMANO LA UTOTO MTAKATIFU WA KANISA KATOLIKI LA MALIZIKA SALAMA


Mgeni Rasimi Mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema Nchimbi akiingia katika viwanja vya Bishop Mabula pembeni ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Bw Elias Tarimo,


Baba Askofu Edward Mapunda akiongea wakati wa misa takatifu.
Ni mtoto aliyeongoza kwaya zote kwa kupiga piano(kinanda) kwa umakini huku akifuata kitabu maalum cha nyimbo,













Mgeni rasimi mkuu wa mkoa wa Singida akikabidhiwa zawadi ya kitenge cha bikila maria mtakatifu na Askofu mkuu wa jimbo takatifu la Singida Edward Mapunda,





Hawa ni watoto kutoka Dar na Singida waliyoongoza misa kwa kupiga kinanda.



zawadi mabali mbali zilitolewa na kamati ya maandalizi kwa mapadri kutoka mikoa yote 9 ikiwemo Zanzibar.



Mgeni rasimi mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema Nchimbi akiutubia baada ya misa,





Katika kuadhimisha Domika ya kumi ya mwaka mtakatifu wa kanisa katoliki sambamba na kilele  cha kongamano la utoto mtakatifu ulioanza tarehe 7/6 na kumaliza tarehe 10/6 2018 na kanda ya mashariki na kati inayounganishwa na washiriki 3094 kutoka Zanzibar,Tanga,Songea,Dodoma,Morogoro,Dar es salama,Ifakala,kondoa na Singida.

Akiongea katika misa takatifu iyofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Bishop Mabura Singida mjini Baba askofu mkuu wa jimbo takatifu la Singida Askofu  Edward Mapunda ameshangazwa na wazazi kudhamini vitu balada ya mototo.

Kwaupande wake mgeni rasimi mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema Nchimbi amelipongeza kanisa katoliki kwa kuandaa kongamano hilo na kufanyika mkoani Singida.


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments