| Waziri mkuu majaliwa Kassim majaliwa akihutubia katika mahafari hayo ya chuo kikuu huria mjini Singida katika viwanja vya Bishop mabula ukumbi Rc mjini Singida. |
| Mkewa waziri mkuu Majaliwa mwenye miwani mama Merry majaliwa akipongezwa na muhitimu mwenzake. |
| Wanahabari pia wamehitimu shahada mabalimbali katika mahafari hayo . |
| Mwenyemiwani ni Jacton manyerere mwandishi na muhariri nguli wa habari pia ni miongoni mwa wahitimu. |
| Waziri mkuu Majaliwa akiteta jambo na makamu mkuu wa chuo kikuu huria Profesa Elifasi bisanda kabla ya kuondoka. |
| Maafisa Elimu wa sekondari kulia Singinda na Tabora baada ya kupata shahada ya juu katika maswala ya elimu |


0 Comments