|
Meneja wa TRA mkoa wa Singida Bw John jofley |
Mamlaka ya mapato Tanzania
TRA mkoani Singida leo imefanya oparasheni ya kufunga vituo vya mafuta ambavyo
havina
mashine za kutoa risiti kwa
wateja wao.
|
Mashine ambazo zinatumika sasa EFD kama hii azitakiwi. |
|
Mashine hizi ndiyo zinazotakiwa BPEFD |
|
Sheri ya OILCOM ikipigwa pini na maafisa wa TRA. |
|
bodaboda ameipongeza serikali kwa kutekeleza kile walichokisema hivi karibuni. |
|
Bw Kinyeto makazi wa manispaa akiongea baada ya kukuta maofisa wa TRA wakiweka uzio. |
Tuandikie Maoni Yako Hapa
0 Comments