Anaitwa Magufuli huyu jamaa hanamchezo jamaa kutoka kampuni ya Udalali ya Machinga ya mjini Dom kaziyake ni kuweka kufuli kwa wakwepa kodi akiongozwa na meneja wa TRA mkoa wa Singida Bw John Gofrey. |
Kulia ni meneja wa TRA akifanya ukaguzi wa kodi ya mapato kusheto ni diwani. |
Meneja wa TRA mkoa wa Singida John Gofrey amesema kuwa zoezi hili badolinaendelea nyumba kwa nyumba. |
Bar hii ilikutwa imebandua tangazo la TRA na kupewa onyokali. |
0 Comments