MBUNGE WA SINGIDA MJINI ATEMBELEA HOSPITALI YA SOKOIN

Mh Musa Sima akiweka saini kwenye kitabu.

Mh Sima Akipata maelezo baada ya kuingia katika chumba cha kuifadhia madawa na kukuta dawa zilizoalibika bila kutumiwa.
Wagonjwa wakiwa wamelala wawili wawili katika kitanda kimoja

mama huyu amejifungua mapacha 3 huku mume akitoweka bila taalifa

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments