| Mbegu zilizopandwa Namfua. |
| Miundo mbinu ya Maji ili kuakikisha maji ayakosekani uwanjani. |
Taa maalum kwaajili ya kumwagilia nyasi hizo usiku kwani sasa hivi nishati ya umeme inapatika Dimbani hapo jukwaa kuu bado kidogo litaanza kukarabatiwa baada ya Nyasi kuota.
|
| Nyuma ya jukwaa kuu ujenzi wa vyumba na vyoo na mabafu ukienelea. |
| Mfundi wakifanya kazi ya ujenzi wa vyumba hivyo. |
| Viongozi mablimbali wa chama na serikali wakikagua ukarabati huo. |
| Chama cha mapinduzi ndiyo waniliki wa Dimba hilo la Namfua. |
| Mtaalamu wa kuotesha nyasi akisimamia umwagiliaji maji. |


0 Comments