| Juma mwendwa ni mkiti wa semina hiyo. |
| Bi Alistidia Kamugisha Afisa mradi mtandao wa elimu Tanzania CTEN/MET akifafanua jambo. |
| Peter mlimahadala mjumbe kutoka CWT taifa. |
| Jacob Kateri ni Mtafiti kutoka ACTIONAID akifafanua juu ya matokeo ya utafiti kwa kifupi. |
| Zacharia Gwagilo afisa elimu kwa walipa kodi Mamlaka ya mapato mkoa wa Singida TRA. |
| Hamisi Mtundua M/kiti wa CWT manispaaa ya Singida akifafanua jambo juu ya elimu ya mlipa kodi kwenye semina ya wadau hao wa elimu. |
| Kamati ya ufuatiliaji katika utekelezaji wa mradi YMC/ACTION AID/MEDO ikiongozwa na Redimino gwijima wakwanza kulia,Agness Aquinine.karoli,mr kilonzo |
| Emanuel Yohana Sima Diwani wa kata ya Msisi na mjumbe wa SAM ACTIONAID SINGIDA, SAM -SOCIAL ACCOUNTABILITY MONITARING |



0 Comments