Mshindi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume,
Mkenya Kelvin Kiptum, 24, amefariki dunia katika ajali ya barabarani nchini
mwake.
Alifariki pamoja na kocha wake, Gervais Hakizimana
wa Rwanda, kwenye gari kwenye barabara magharibi mwa Kenya siku ya Jumapili.
0 Comments