Tanzania
yafanya majaribio ya kwanza ya Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) ikipita maeneo
ya Pugu Jijini Dar es Salaam katika majaribio yake ya kawaida. Shirika la Reli
Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni hiyo ya SGR kutoka Mkoani Dar es
Salaam hadi Mkoani Pwani na hivi karibuni itaendelea na majaribio hayo mpaka
Mkoani Morogoro. Huduma rasmi za Usafiri huo zinatarajiwa kuanza Mwezi wa
Julai, 2024.
0 Comments