 |
Katibu tawala wilaya ya Singida Bw Wilson Shimo akiongea katika uzinduzi wa bodi ya wasaidizi wa kisheria manispaa ya Singida WASS uliyofanyika katika ofisi za wasaidizi hao zilizopo katika jengo la CDTF Msufini Singida mjini. |
 |
Bodi hiyo ikikabidhiwa mwongozo na mgeni rasimi katibu tawala wa wilaya ya Singida Bw Wilson Shimo. |
 |
Piacha ya pamoja Bodi na mgeni rasimi nje ya ofisi ya WASS |
 |
Picha ya pamoja na viongozi wa dini ya kislam |
 |
Picha ya pamoja Bodi mpya na watendaji wa ofisi hiyo ya wasaidizi wa kisheria WASS. |
 |
Wageni waalikwa kutoka Taasisi mbalimbalina wadau wa wasaidizi hao wa kisheria WASS |
 |
Bw Pasco Tantau katibu na mratibu wa wasaidizi wa kisheria WASS katika picha. |
Vituo vya msaada wa kisheria vimetakiwa kuongeza jitihada katika kutoa elimu ya
msaada wa kisheria kwa wananchi ili kujenga jamii imara na yenye uelewa kuhusu
masuala la kishearia.
Akiongea katika uzinduzi wa bodi ya shirika la
wasaidizi wa kisheria manispaa ya singida katibu Tawala wilaya ya Singida
Bw,Willison Shimo amesema suala wanalolifanya nijema kwa masilahi ya taifa.
Bw, Shimo amesema wananachi wakiwa na uelewa wa
sheria kutasaidia kutekeleza maagizo na sera mbalimbali zinazo tolewa na
serikali kwaajili ya kueleta maendeleo
Awali akisoma risala mbele ya mgeni rasmi katibu
mtendaji wa Shirika hilo Bw Paschal
Tantau amesema shirika hilo linatoa
msaada ya kisheria bila malipo kwa wakazi wote wa manispaa ya singida .
Amesema wao kama wasaidizi wa kisheri wamejikita
katika kuwasaidia akina mama pamoja na watoto
Tuandikie Maoni Yako Hapa
0 Comments