Mshambuliaji Sadio Mane akiunganisha pasi ya Roberto Firmino kuifungia Liverpool bao la kwanza katika ushindi wa 2-1 dhidi ya West Bromwich Albion leo Uwanja Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Philippe Coutinho, wakati la wageni lilifungwa na Gareth McAuley
![]() |
Add caption |

0 Comments