| Mwonekano wa jengo jipya la uwekezaji lililoghalimu jumla ya shili bilion 3.4 limezinduliwa na waziri mkuu Kassim Majaliwa mkoani Singida. |
| Wakuu wa wilya za Manyoni,Mkalama.Ikungi kulina ni Katibu wa CCM mkoa wa Singida Jimson Muhagama wakibadilishana mawazo . |
| waziri mkuu Mh Kassim Majaliwa akisalimiana na shekh wa wilaya shekh Simba Baada ya kuwasili. |
| Mmmoja ya watu maalufu katika soka la Tanzania na coach wa Dodoma Spot Club Jamuhuli Kihwelu alikuwepo katika tukio hilo. |
| Wabunge wa mkoa wa Singida na Viongozi mbalimbali wa chama wakicheza kwa furaha. |
| Mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema Nchimbi akitoatarifa ya mkoa mbele ya uwekezaji. |
| Mkurugenzi wa manispaa ya Singida Kizito Bravo lyampimbile katika tukiohilo la kihistoria. |
| Mbunge wa Ikungi Maghalibi Mh Elibariki Kingu akiteta jambo na mkuu wa wilaya ya Ikungi Mh Miraji Mtaturu, |
| Wakuu wa wilaya za mkoa wa Singida. |
| Viongozi wa chama mkoa wa Singida |
| Kamati ya Ulinzi ya Mkoa wa Singida. |



0 Comments