| kulia ni mshidi wa pili Pascal Mombo kutoka mkoa wa manyara na kushoto ni Augusti poul Sule kutoka Arusha wakichuana vikali katika mbio hizo za nyika kilometa 21 |
| Augusti poul Sule akimaliza wa kwanza katika mbio hizo zilizoandaliwa na hotel ya Regency iliyopo kandokando ya ziwa Singidani |
| Sara Ramadhani kutoka Singida akimaliza wa kwanza katika mbio hizo . |
| Bingwa wa mbio za nyika Felix Simbu akionea baada ya kushiriki mbio za Singidani Marathon kwa km 5 tu Ikiwa ni kuonyesha uzalendo na kuwaunga mkono waandaaji na kuota suport mkoa wake wa Singida. |
| Mshindi wa tatau kutoka mkoa wa Mara akipokea zawadi yake. |
| Afisa masoko wa kampuni ya simu ya mkononi Singia Honest Lekule akiongea katika mashindano hayo. |
| Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida akijiandaa kushiriki mbio hizo |
| mshriki kutoka mkoa wa Mara |
| Waamuzi wakifanya kazi yao. |


0 Comments