Shirikisho la Masumbwi la IBF limesema
kwamba ushindi wa bondia Ryan Burnett dhidi ya Lee Hanskin Ulitolewa kimakosa.
Siku ya Jumamosi Burnet alipewa ushindi na majaji wawili
kimakosa huku jaji mmoja akipinga ushindi huo.
IBF imesema kuwa Maamuzi ya Majaji hao wawili yalikuwa hayampi
ushindi bondia yoyote kutokana na uwiano sawa wa alama.





0 Comments