Mh Pinda akitazama namna ya utundikaji mizinga ya Nyuki katika shamba la vijana Kisaki nje kidogo ya manispaa ya Singida.
|
| Bw Philemon Kiemy akitoa maelezo ya namna ya uwekaji wa mizinga ya kisasa. |
| Mgeni rasimi katika mahafali hayo Mh Mizengo Pinda akifafanua jambo juuu ya faida za ufugaji Nyuki wakati wa hotuba yake. |
| Wahitimu wa mafunzo ya ufugaji Nyuki kutoka mikoa mbalimbali |
| Kwaya ya Tumaini Group ikitoa burudani |
| Mkurugenzi wa manispaa ya Singida Bravo Lyapimbile |
| Mkuu wa wilaya ya Singida Bw Elisa Tarimo |
| Muhitimu wa mafunzo hayo akipokea cheti chake. |
Doris Meghij wa Azam Tv na Grace Gwamagobe mwandishi wa habari ofisi ya mkuu wa mkoa.
|


0 Comments