Salimu Abdalla Try Again
Barbara Gonzalez
Maamuzi yamefikiwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah Try Again amekubali kuwa ataachia ngazi kwenye nafasi hiyo,Taarifa hii bado haijawa rasimi kutoka ndani ya klabu hiyo yenye makao makuu mtaa wa Msimbazi jijini Dar -es saama huku Aliyewai kuwa Afisa Mtendaji mkuu (C.E.O) wataimu hiyo Barbara Gonzalez akitajwa kuchukua nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya timu hiyo.
Aidha taarifa hiyo inasema kuwa aliyekuwa afisa mtendaji mkuu (C.E.O) watimu hiyo Imani Kajuna naye amekubali kuachia ngazi pia huku Mwenyekiti wa timu hiyo Murtaza Mangungu amegoma kuachia ngazi katika nafasi hiyo.
0 Comments