Singida ni mkoa ambao biashara ya mbizu ufanyika sana katika maeneo mbalimbali ya mkoa huu, ambapo mbuzi mmoja huuzwa kwa shilingi 30000-40 lakini bei hiyo imeongezeka kutoka 40000 mapaka elfu 60000 kwa mbuzi mmoja wakati huu wa x mass na mwaka mpya.
Mbuzi wakiwa tayali kwa mnada hapo ni mnada wa Manyoni
0 Comments